Miongoni mwa ripoti za jioni hii: Mkutano wa COP29 waingia kipindi kigumu cha majadiliano /Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz akabiliwa na shinikizo la kumtaka kutogombea tena /Mkuu wa ujasusi wa Urusi ayaonya madola ya magharibi dhidi ya mzozo wa moja kwa moja wa kijeshi.