You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Gambia
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mpango wa kuinua maendeleo barani Afrika magazetini
Mpango wa kuinua maendeleo Afrika,Hali nchini Gambia na makubaliano ya biashara ya EU na Afrika Mashariki
Majeshi ya Afrika yako tayari kuingia Gambia
Majeshi ya Afrika yako tayari kuingia Gambia
Muda wa Jammeh madarakani warefushwa
Maandalizi ya kupelekwa kwa jeshi la kikanda yakamilika
Mawaziri wanne wa serikali ya Gambia wamejiuzulu
Mambo yazdi kwena kombo Gambia
Adama Barrow kuapishwa Januari 19 kama ilivyopangwa
Rais mteule wa Gambia Adama Barrow ataapishwa Januari 19 kama ilivyokuwa imepangwa awali.
Jammeh aahidi mwisho wa amani kwa mgogoro Gambia
Yahya Jammeh amezikosoa UN, AU na ECOWAS kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake.
Viongozi wa Afrika kukutana tena na Rais Jammeh
Viongozi wa Afrika kumshawishi Rais Jammeh kuachia madaraka
Akufo-Addo kuapishwa kuwa rais wa Ghana
Nana Akufo-Addo ataapishwa leo Jumamosi(07.01.2017) kuwa rais mpya Ghana
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani Wiki hii
Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo na Gambia Magazetini wiki hii
Hali ya kisiasa Gambia
Mkuu wa majeshi ya Gambia, Luteni Jenerali Ousman Badjie, amerudia kuelezea hatua yake ya kumtii kiongozi wa muda mrefu wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, licha ya kushindwa uchaguzi mwaka jana. Sikiliza mahojiano haya na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Bashiru Ali, akifafanua.
Uturuki yasema mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria yatahatarisha mazungumzo ya amani ya mwishoni mwa mwezi. Mkuu wa tume ya uchaguzi ya Gambia akimbilia Senegal kwa kuhofia maisha yake. Na, mwanamuziki maarufu, Janet Jackson, ajifungua mtoto wake wa kwanza akiwa na umri wa miaka 50.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Gambia aipa kisogo nchi yake
Hali inatisha nchini Gambia na redio za kibinafsi zinafungwa
Jammeh afungia redio inayomkosoa
Jumuiya ya Uchumi ya Afrika ya Magharibi (ECOWAS) imeapa kumuondoa kwa nguvu kama atakataa kuondoka kwa hiyari.
Jammeh aapa kutoondoka madarakani
Gambia bado kuna hali tete huku tarehe 19 Januari ikikaribia, ambayo ni siku ya mwisho ya Jammeh kuwapo madarakani.
ECOWAS yaweka majeshi tayari kumvamia Jammeh
Jammeh ameapa kubakia madarakani, licha ya kushindwa kwenye uchaguzi wa tarehe 1 Disemba na Adama Barrow.
Jammeh akataa kuondoka madarakani
ECOWAS inataka amkabidhi madaraka mpinzani wake aliyeshinda kwa kura, Adam Barrow, kwa njia za amani.
Taarifa ya habari ya asubuhi 21.12.2016
Tuliyo nayo: Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na shambulio la siku ya Jumatatu mjini Berlin. Timu ya wapelelezi wa Urusi imeondoka kuelekea Uturuki kuanza uchunguzi wa mauaji ya mwanadiplomasia wa taifa hilo. Na upinzani nchini Gambia wasema rais Yahya Jammeh hatoshitakiwa akiondoka madarakani.
Barrow kuapishwa hata kama Jammeh hataki
Viongozi wa jumuiya ya ECOWAS wasema watahakikisha kuwa matokeo ya uchaguzi wa Gambia yanaheshimiwa
Tutahudhuria kuapishwa Barrow - ECOWAS
Marais wa jumuiya hiyo pia walimhakikisha Barrow usalama na ulinzi wake baada ya kusema kuwa anahofia maisha yake
Kigeugeu cha Jammeh na Misaada ya Maendeleo kwa Afrika
Gambia na kigeugeu cha Jammeh, juhudi za kupambana na homa ya Malaria na misaada ya maendeleo
Jammeh apinga matokeo mahakamani
Rais huyo wa Gambia anataka uchaguzi wa uitishwe upya na daftari la wapiga kura kupitia upya
Viongozi wa ECOWAS kukutana na Jammeh
Ujumbe huo unalenga kumshawishi Rais Yahya Jammeh akubali kuwa alishindwa katika uchaguzi wa rais
EU na Mali wakubaliana kudhibiti uhamiaji
Miongoni mwa waliyokubaliana ni wahamiaji watakaofika katika fukwe za Ulaya watarejeshwa makwao
Jammeh akataa kuachia madaraka
Jeshi limeshatawanywa katika mji mkuu Banjul huku Marekani ikitowa mwito wa utulivu
Taarifa ya Habari za asubuhi 10.12.2016
Mtuhumiwa wa kigaidi akamatwa na polisi akiwa na bunduki ya aina ya AK-47 nchini Uholanzi. Mkutano wa Shirika la Usalama na Ushirikiano la Ulaya OSCE wamalizika Ujerumani, bila ya makubaliano kuhusu migogoro ya Syria na Ukraine. Na, Rais wa Gambia, Yahya Jammeh abadili kauli yake ya awali na kukataa kushindwa na mpinzani wake katika uchaguzi wa urais.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 09.12.2016
Umoja wa Ulaya yaziruhusu nchi wanachama kurejesha wahamiaji Ugiriki. Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye, apigiwa kura ya kufunguliwa mashtaka. Na, kiongozi mkuu wa upinzani nchini Ghana, Nana Akufo-Addo, adai ameshinda uchaguzi mkuu nchini humo.
Hatima ya wakimbizi wa Gambia Ujerumani mashakani
Wanasiasa wanataka wageni kutoka mataifa yasiyo na uvunjwaji wa haki za binaadamu warejeshwe makwao
Barrow asema ni mwamko mpya Gambia
Rais Mteule wa Gambia Adama Barrow amempongeza Rais anayemaliza muda wake Yahya Jammeh kwa kukubali kushindwa
Taarifa ya Habari za Asubuhi 04.12.2016
Vikosi vya serikali ya Syria vyakamata asilimia 60 ya eneo la Aleppo mashariki. Korea Kusini yaandamana kwa wiki ya 6 ikimtaka Rais Park Guen-hye. Na, kisima kimoja cha mafuta chawaka moto Jamhuri ya Kongo.
Taarifa ya Habari za Asubuhi 03.12.2016
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump avunja itifaki za kidiplomasi za muda mrefu kwa kuzungumza na Rais wa Taiwan kwa njia ya simu. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, atangaza msaada kwa Aleppo. Na, mji mkuu wa Libya, Tripoli, watikiswa kwa fujo za makundi hasimu.
Barrow ambwaga Jammeh urais Gambia
Baada ya kutawala Gambia kwa miaka 22, sasa Jammeh abwagwa na mwanasiasa asiye na umaarufu.
Kura zahesabiwa Gambia
Marekani na makundi ya kutetea haki za binadamu pamoja na baadhi ya raia wameshutumu hatua ya serikali kuzima internet
Wagambia wapiga Kura
Serikali ya rais Yahya Jammeh inakosolewa kwa ukiukaji wa haki za binadamu kwa kuwakandamiza wapinzani
Mtandao wa intaneti na simu vyafungiwa
Gambia yafanya uchaguzi wa rais
Rais Jammeh akabiliwa na upinzani mkali kwenye uchaguzi
Hii ni mara ya kwanza kwa upinzani kusimamisha mgombea mmoja na inawapa matumaini ya ushindi.
ICC yaziomba nchi za Afrika kutojivua uanachama
Nchi za Afrika zaombwa kutojiondoa ICC huku Urusi ikitangaza nayo inajiondoa
Gambia kujitoa katika Korti ya ICC Magazetini
Gambia,Rwanda na Ujerumani Magazetini
Taarifa ya Habari za Asubuhi 26.10.2016
Marekani inasema inapanga kusaidia katika operesheni za kuukomboa mji wa Mosul nchini Iraq na Raqqa nchini Syria kwa wakati mmoja. Polisi nchini Ufaransa wameanza kuvunja kambi ya Calais. Na, Bunge la Venezuela limepiga kura ya kumfungulia kesi Rais wa nchi hiy, Nicolas Maduro.
Hijabu lazima Gambia
Hijabu lazima Gambia
Vijana waikimbia Afrika
Amisom yasumbuliwa na magaidi wa al-Shabaab
Msako nyumba kwa nyumba Gambia
Majeshi ya usalama ya Gambia katika mji mkuu Banjul Ijumaa(02.01.2015)yamekuwa yakiingia nyumba hadi nyumba kuwasaka waliohusika katika jaribio lililoshindwa la mapinduzi dhidi ya kiongozi wa nchi hiyo Yahya Jammeh.
Jammeh anusurika kupinduliwa
Jeshi nchini Gambia limevunja jaribio la kumpindua Rais Yahya Jammeh wakati kiongozi huyo anayetambuliwa kwa misimamo yake yenye utataakiwa nchini Ufaransa.
Utumwa duniani
Kwa mujibu wa ripoti ya Wakfu wa "Walk Free" watu milioni 30 bado wamo katika utumwa duniani. Ripoti hiyo iliyotolewa leo inasema hali ni mbaya zaidi nchini Mauritania
Gambia yashinikizwa kuacha hukumu ya kifo
Leo ni siku ya kimataifa ya kupinga hukumu ya kifo, ambapo ingawa nchi nyingi duniani zinajiepusha kutekeleza hukumu hiyo, bado kuna mataifa 57 ambayo bado yanaendelea nayo, ikiwemo Gambia inayolaumiwa vikali duniani.
Yahya Jammeh atangazwa mshindi Gambia
Rais wa Gambia, Yahya Jammeh, ameshinda muhula mwengine wa miaka mitano, baada ya Tume ya Uchaguzi kumtanganza mshindi wa uchaguzi wa Alhamis iliyopita.
NEW YORK: Jallow wa Gambia ateuliwa kwa awamu ya pili
BANJUL : Rais wa Gambia aashiria utawala wa mabavu
BANJUL: Jammeh amebakia rais wa Gambia
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia