You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Kenya
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
24.11.2024
24 Novemba 2024
Kenya ilihusika na kukamatwa kwa Besigye asema wakili wake
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ripoti na uchambuzi
Zimamoto wa Baringo waelimishwa na kupewa misaada na Ulaya
Zimamoto wa Baringo waelimishwa na kupewa misaada na Ulaya
Zaidi ya maafisa 28 wamepokea mafunzo kutoka kwa kundi la kutoa misaada na elimu kwa zima moto kutoka Ulaya.
Je, vijana ambao huandamana Kenya hutumiwa na wanasiasa?
Je, vijana ambao huandamana Kenya hutumiwa na wanasiasa?
Nchini Kenya, Gen Z (vijana wa kati ya umri wa miaka 17-28) wamekuwa wakiendesha kampeni mitandaoni hadi mitaani ili kuiwajibisha serikali. Lakini swali linaloibuka ni je, baadhi yao wanatumika kisiasa? Na ni mbinu gani bora zaidi wanayoweza kuitumia kufuatia hali ya sasa ya kisiasa? Wakio Mbogho amelijadili suala hilo pamoja na vijana nchini Kenya kwenye kipindi cha Vijana Tugutuke.
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Wanawake kutoka kote barani Afrika chini ya Msaada wa Wataalamu wa Kundi la Afrika la Wapatanishi (AGNES) wamezindua kampeni ya kuwawezesha wanawake kujumuishwa ili kushawishi mamlaka inayosimamia mipangilio ya hali ya hewa kwa kuhimiza masuala ya wanawake kuzingatiwa wakati wa kutenga bajeti na kubuni mikakati. Kwenye makala hii, Wakio Mbogho, anachanganua zaidi
Ziwa Victoria, chanzo kikuu cha ugonjwa wa Kichocho Kenya
Ziwa Victoria, chanzo kikuu cha ugonjwa wa Kichocho Kenya
Ziwa Victoria limetajwa kuwa chanzo kikuu cha ugonjwa wa kichocho nchini Kenya.
Kina cha maji katika Ziwa Turkana kimeongezeka
Kina cha maji katika Ziwa Turkana kimeongezeka
Ziwa Turkana lililoko kaskazini mwa Kenya ni la kipekee duniani kwani ni la jangwani na lenye umuhimu kwa wavuvi.
Kithure Kindiki ala kiapo cha unaibu rais Kenya
Kithure Kindiki ala kiapo cha unaibu rais Kenya
Kindiki ameapishwa rasmi Ijumaa ya (01.11.2024) kuwa naibu wa rais wa tatu baada ya Rigathi Gachagua kutimuliwa.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi