Katika makala ya Kinagubaga, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, anatoa majibu baada ya ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch kusema kuwa serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binaadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa Novemba 2024.