Maalimu Seif Sharif Hamad ni mwanasiasa wa viziwani Zanzibar. Ndiye Katibu Mkuu wa chama cha upinzani CUF, na alikuwa makamu wa kwanza wa Rais katika serikali ya Umoja wa Kitafa.