Imetimia miaka mawili tangu rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na makamu wake Riek Machar, walipounda serikali ya umoja, ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano yaliosainiwa mwaka 2018, ambayo yalihitimisha mzozo uliogharimu maisha ya takribani watu laki nne. Mchambuzi Martin Oloo anaangalia hali nchini humo