Matangazo
Uturuki yaendeleza msako mkali kumtafuta mshambuliaji aliyeuwa watu 39 katika klabu ya starehe mjini Istanbul, Mashambulizi ya serikali ya Syria dhidi ya waasi yatishia makubaliano ya kusitisha mapigano, na Serikali ya Gambia yakifungia kituo cha redio kinachoikosoa serikali.