You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Tanzania
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
23.11.2024
23 Novemba 2024
Kiongozi wa upinzani Tanzania Freeman Mbowe ameachiliwa
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na uchambuzi
Ripoti na uchambuzi
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zaanza Tanzania
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zaanza Tanzania
CCM imeweka wagombea katika nafasi zote huku vyama vingine 18 vya siasa vikiweka wagombea katika nafasi 30,977.
Waliofariki ajali ya Kariakoo waagwa
Waliofariki ajali ya Kariakoo waagwa
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kufanyika uchunguzi wa majengo katika eneo zima la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
CHADEMA yamjibu Lissu, makada wake kuhusu madai ya rushwa
CHADEMA yamjibu Lissu, makada wake kuhusu madai ya rushwa
Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, CHADEMA, kimejitokeza hadharani kujibu tuhuma kali zilizoibuliwa na makada wake.
Upinzani Tanzania waelezea figisu kuelekea uchaguzi
Upinzani Tanzania waelezea figisu kuelekea uchaguzi
Hata hivyo, vyama hivyo vimejinasibu kutosusia uchaguzi huo na badala yake vinakwenda kushiriki uchaguzi huo.
Tanzania yakamilisha zoezi la kuandikisha wapiga kura
Tanzania yakamilisha zoezi la kuandikisha wapiga kura
Uandikishaji huo ulianza Oktoba 11- 20 umeshuhudia zaidi ya wananchi milioni 26 kote nchini wakijitokeza kujiandikisha.
HRW: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi
HRW: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi
Human Rights Watch yasema serikali ya Tanzania inapaswa kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu.
Onesha zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Mwandishi kinda wa vitabu vya utalii Tanzania
Mwandishi kinda wa vitabu vya utalii Tanzania
Katika umri wa miaka 9, Queen Florence tayari ameandika vitabu 2 vya kuhamasisha utalii uliojificha nchini Tanzania. Mojawapo ya kitabu chake amekipachika jina la “NCHI YANGU TANZANIA”. Na huyu leo ndio msichana wetu jasiri.
Mfahamu mlimbwende wa Vyuo Vikuu Tanzania
Mfahamu mlimbwende wa Vyuo Vikuu Tanzania
Latricia ni msichana ambaye amelitwaa taji la ulimbwende kwa vyuo vikuu Tanzania 2024, ambapo safari yake ya kuanza kuzifuata ndoto zake ilianza akiwa na miaka 16, kutokana na taji lake anatarajia kuwa msemaji wa wasichana huku akitarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ulimwenguni. #msichanajasiri @latricia_ian12
Msichana Jasiri : Mwelimishaji Afya ya Watoto
Msichana Jasiri : Mwelimishaji Afya ya Watoto
Kutana na Maria Mchome, msichana anayewaelimisha wazazi jinsi ya kilinda afya za watoto wao dhidi ya maradhi.
Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
Kuwa shabiki wetu kwenye Facebook, tuchangiane mawazo.
Jielimishe zaidi